Ukweli Ni Kitu Gani? - Pd Sebastian Mpango Nzabhayanga - Books - Createspace Independent Publishing Platf - 9781724920461 - August 9, 2018
In case cover and title do not match, the title is correct

Ukweli Ni Kitu Gani?

Pd Sebastian Mpango Nzabhayanga

Price
Kč 337
excl. VAT

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Sep 18 - 29
Add to your iMusic wish list

Ukweli Ni Kitu Gani?

Kitabu hiki, "Ukweli ni Kitu Gani," kinatondoa [fafanua kwa umakini] dhana Ukweli, kwa mifano tosha kumsaidia msomaji kuelewa anachosoma. Nimefafanua shida zinazotokea katika kufikiri na kuongeza hata kuleta mizozo na mitafaruku katika jamii. Sehemu ya Hairakia ya Ukweli imeeleza vema mlinganisho wa vipengee vya ukweli kwa namna ambayo sidhani kama umepata kuiona kwa Kiswahili. Nimeandika pia kitabu kingine kwa mtindo kama huu, na wasomaji wamekipenda. Naamini nawe utakipenda kitabu hiki na kitakuwa cha manufaa. Waweza kunipa maoni yako kupitia: sebba-mn@live.com

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released August 9, 2018
ISBN13 9781724920461
Publishers Createspace Independent Publishing Platf
Pages 200
Dimensions 140 × 216 × 11 mm   ·   235 g
Language Swahili