
Tell your friends about this item:
Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH / STEM kutoka A mpaka Z
Tiffani Teachey
Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH / STEM kutoka A mpaka Z
Tiffani Teachey
Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi, Teknolojia, uhandisi na Hisabati. Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano, wanaanga, madaktari, wanasayansi, na wahandisi, na kadhalika), kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM, na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM!
English Description:
What Can I Be? STEM Careers from A to Z is an inspiring and easy-to-read alphabet picture book that teaches our next generation about Science, Technology, Engineering, and Math (STEM) careers. This book provides colorful illustrations of six diverse children representing various STEM careers (i.e. astronauts, doctors, scientists, and engineers, etc), helping children (5 to 8 years old) see themselves in one of the STEM careers, and motivates them to shape their future through STEM!
Media | Books Hardcover Book (Book with hard spine and cover) |
Released | December 29, 2020 |
ISBN13 | 9781735828961 |
Publishers | Thrive Edge Publishing |
Pages | 32 |
Dimensions | 203 × 254 × 6 mm · 344 g |
Language | Swahili |
More by Tiffani Teachey
See all of Tiffani Teachey ( e.g. Paperback Book , Hardcover Book and Book )