Chozi La Sundi - Wilfred Boniphace Akasi - Books - Createspace Independent Publishing Platf - 9781987771336 - April 12, 2018
In case cover and title do not match, the title is correct

Chozi La Sundi

Wilfred Boniphace Akasi

Price
Íkr 1,939
excl. VAT

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Sep 16 - 25
Add to your iMusic wish list

Chozi La Sundi

Chozi la Sundi ni hadithi inayomwelezea binti mdogo mwenye ulemavu wa ngozi anayeishi kijijini kwenye jamii ya kabila la wasukuma wanaopatikana nchini Tanzania. Katika hadithi hii mwandishi ameonesha namna mila na desturi za kiafrika zinavyowanyanyasa watu wenye mahitaji maalumu kama walemavu wa ngozi na vikongwe. Walemavu wa ngozi wananyanyaswa, wanatengwa na jamii pia wanawindwa kuuawa kwa imani potofu. Vikongwe nao wanawindwa kuuawa kwa imani kuwa ni washirikina wanaokwamisha maendeleo. Natumaini kuwa itatoa mafundisho mengi kwa jamii kuepukana na mauaji ya vikongwe na albino na kuonesha umuhimu wa kuthamini haki ya kila mtu kuishi kama ilivyo katika mikataba ya kimataifa na katiba za nchi mbalimbali.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released April 12, 2018
ISBN13 9781987771336
Publishers Createspace Independent Publishing Platf
Pages 66
Dimensions 127 × 203 × 4 mm   ·   72 g
Language Swahili  

Show all

More by Wilfred Boniphace Akasi