Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi - Yunus Zuhura Yunus - Books - Amazon Digital Services LLC - KDP Print  - 9789987735846 - November 1, 2021
In case cover and title do not match, the title is correct

Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi

Price
Íkr 3,439
excl. VAT

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Sep 4 - 18
Get notified about new Yunus Zuhura Yunus releases
Add to your iMusic wish list

Not rated yet

Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha kipekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kijitawala, siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla.

Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa, bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi, hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released November 1, 2021
ISBN13 9789987735846
Publishers Amazon Digital Services LLC - KDP Print
Pages 226
Dimensions 152 × 229 × 12 mm   ·   308 g
Language English